Isaiah 5:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wao wanaoburuta uovu kama kwa kamba; wanaokokota dhambi kama kwa kamba za mkokoteni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole wao wanaovuta dhambi kwa kamba za udanganyifu na uovu kama kwa kamba za mkokoteni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wao wavutao uovu kwa kamba za ubatili, na dhambi kama kwa kamba za gari!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wao wanaoburuta uovu kama kwa kamba; wanaokokota dhambi kama kwa kamba za mkokoteni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole wao wanaovuta dhambi kwa kamba za udanganyifu na uovu kama kwa kamba za mkokoteni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole wao wanaovuta dhambi kwa kamba za udanganyifu na uovu kama kwa kamba za mkokoteni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wao wavutao uovu kwa kamba za ubatili, na dhambi kama kwa kamba za gari!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wao wanaoburuta uovu kama kwa kamba; wanaokokota dhambi kama kwa kamba za mkokoteni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatawapata wajivutiao mabaya kwa vigwe vya udanganyifu, tena makosa kwa kamba za magari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wao wavutao uovu kwa kamba za ubatili, na dhambi kama kwa kamba za gari!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole kwao wanaokokota uovu kama kwa kamba; wanaoburura zambi kama wanavyokokota gari.