Isaiah 5:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wao mabingwa wa kunywa divai, hodari sana wa kuchanganya vileo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole wao walio mashujaa kwa kunywa mvinyo, nao walio hodari katika kuchanganya vileo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu kuchanganya vileo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wao mabingwa wa kunywa divai, hodari sana wa kuchanganya vileo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole wao walio mashujaa kwa kunywa mvinyo nao walio hodari katika kuchanganya vileo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole wao walio mashujaa kwa kunywa mvinyo, nao walio hodari katika kuchanganya vileo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, na walio hodari wa kuchanganya vileo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wao mabingwa wa kunywa divai, hodari sana wa kuchanganya vileo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatawapata walio wenye nguvu za kunywa pombe, walio na ufundi wa kuchanganya vileo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu kuchanganya vileo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole kwao wanaokuwa wafundi wa kunywa divai, wanaokuwa hodari sana wa kuchanganya vinywaji vya kulewesha.