Isaiah 5:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawachoki wala hawajikwai; hawasinzii wala hawalali; hakuna mshipi wao uliolegea wala kamba ya kiatu iliyokatika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna hata mmoja wao anayechoka wala kujikwaa, hakuna hata mmoja anayesinzia wala kulala, hakuna mkanda uliolegezwa kiunoni, hakuna gidamu ya kiatu iliyokatika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miongoni mwao hakuna achokaye wala kukwaa; Hakuna asinziaye wala kulala usingizi; Wala mshipi wa viuno vyao hautalegea. Wala ukanda wa viatu vyao hautakatika;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawachoki wala hawajikwai; hawasinzii wala hawalali; hakuna mshipi wao uliolegea wala kamba ya kiatu iliyokatika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna hata mmoja wao anayechoka wala kujikwaa, hakuna hata mmoja anayesinzia wala kulala, hakuna mkanda uliolegezwa kiunoni, hakuna gidamu ya kiatu iliyokatika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna hata mmoja wao anayechoka wala kujikwaa, hakuna hata mmoja anayesinzia wala kulala, hakuna mkanda uliolegezwa kiunoni, hakuna gidamu ya kiatu iliyokatika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miongoni mwao hakuna achokaye wala kujikwaa; Hakuna asinziaye wala kulala usingizi; Wala mshipi wa viuno vyao hautalegea. Wala ukanda wa viatu vyao hautakatika;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawachoki wala hawajikwai; hawasinzii wala hawalali; hakuna mshipi wao uliolegea wala kamba ya kiatu iliyokatika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwao hao hamna mchovu ajikwaaye mara kwa mara, wala hamna apendaye kusinzia wala kulala usingizi, wala hamna mwenye mshipi kiunoni ufungukao, wala hamna mwenye viatu vikatikavyo mikanda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miongoni mwao hakuna achokaye wala kukwaa; Hakuna asinziaye wala kulala usingizi; Wala mshipi wa viuno vyao hautalegea. Wala ukanda wa viatu vyao hautakatika;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawachoki wala hawajikwai; hawasinzii wala hawalali; hakuna mukaba wao uliofunguka wala kamba ya kiatu iliyokatika.