Isaiah 5:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni kitu gani nilichokosa kulifanyia shamba langu? Na nilipotazamia lizae zabibu nzuri, mbona basi, likazaa zabibu chungu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nini zaidi ambacho kingefanyika katika shamba langu la mizabibu kuliko yale niliyofanya? Nilipotazamia kupata zabibu nzuri, kwa nini lilizaa zabibu mbaya tu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Ni kazi gani iliyoweza kutendeka ndani ya shamba langu la mizabibu nisiyoitenda? Basi, nilipotumaini ya kuwa litazaa zabibu, mbona lilizaa zabibu-mwitu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni kitu gani nilichokosa kulifanyia shamba langu? Na nilipotazamia lizae zabibu nzuri, mbona basi, likazaa zabibu chungu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nini zaidi ambacho kingeweza kufanyika kwa ajili ya shamba langu la mizabibu kuliko yale niliyofanya? Nilipotazamia kupata zabibu nzuri, kwa nini lilizaa zabibu mbaya tu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nini zaidi ambacho kingeweza kufanyika kwa shamba langu la mizabibu kuliko yale niliyofanya? Nilipotazamia kupata zabibu nzuri, kwa nini lilizaa zabibu mbaya tu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Ni kazi gani iliyohitajika kutendeka ndani ya shamba langu la mizabibu nisiyoitenda? Basi, nilipotumaini ya kuwa litazaa zabibu, mbona lilizaa zabibumwitu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni kitu gani nilichokosa kulifanyia shamba langu? Na nilipotazamia lizae zabibu nzuri, mbona basi, likazaa zabibu chungu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yako mambo gani ya kuifanyizia mizabibu, nisiyoifanyizia? Mbona nilikaa na kuzingojea zabibu, ikanizalia tu zisizolika?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Ni kazi gani iliyoweza kutendeka ndani ya shamba langu la mizabibu nisiyoitenda? Basi, nilipotumaini ya kuwa litazaa zabibu, mbona lilizaa zabibu-mwitu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni kitu gani nilichokosa kulifanyia shamba langu? Nilipotazamia lizae zabibu nzuri, mbona basi, likazaa zabibu chungu?