Isaiah 50:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani kati yenu amchaye Mwenyezi-Mungu? Nani anayetii maneno ya mtumishi wake? Kama yupo atembeaye gizani bila taa, amtumainie Mwenyezi-Mungu, na kumtegemea Mungu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani miongoni mwenu amchaye Mwenyezi Mungu, na kulitii neno la mtumishi wake? Yeye atembeaye gizani, yeye asiye na nuru, na alitumainie jina la Mwenyezi Mungu, na amtegemee Mungu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani miongoni mwenu amchaye Bwana, aitiiye sauti ya mtumishi wake? Yeye aendaye katika giza, wala hana nuru, naye alitumainia jina la Bwana, na kumtegemea Mungu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani kati yenu amchaye Mwenyezi-Mungu? Nani anayetii maneno ya mtumishi wake? Kama yupo atembeaye gizani bila taa, amtumainie Mwenyezi-Mungu, na kumtegemea Mungu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani miongoni mwenu amchaye BWANA na kulitii neno la mtumishi wake? Yeye atembeaye gizani, yeye asiye na nuru, na alitumainie jina la BWANA na amtegemee Mungu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani miongoni mwenu amchaye bwana, na kulitii neno la mtumishi wake? Yeye atembeaye gizani, yeye asiye na nuru, na alitumainie jina la bwana, na amtegemee Mungu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani miongoni mwenu amchaye BWANA, aitiiye sauti ya mtumishi wake? Yeye aendaye katika giza, wala hana nuru, naye alitumainia jina la BWANA, na kumtegemea Mungu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani kati yenu amchaye Mwenyezi-Mungu? Nani anayetii maneno ya mtumishi wake? Kama yupo atembeaye gizani bila taa, amtumainie Mwenyezi-Mungu, na kumtegemea Mungu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani kwenu anayemwogopa Bwana? Yuko nani kwenu anayeisikiliza sauti ya mtumishi wake? Akienda gizani pasipo kumulikiwa na aliegemee Jina la Bwana! Na ajikongojee Mungu wake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani miongoni mwenu amchaye BWANA, aitiiye sauti ya mtumishi wake? Yeye aendaye katika giza, wala hana nuru, naye alitumainia jina la BWANA, na kumtegemea Mungu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani kati yenu anayemwogopa Yawe? Nani anayetii maneno ya mutumishi wake? Kama kuna mutu anayetembea katika giza bila taa, amutumainie Yawe, na kumutegemea Mungu wake.