Isaiah 50:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nilipokuja kwa nini sikukuta mtu? Nilipoita mbona hamkuitikia? Je, mkono wangu ni mfupi nisiweze kuwaokoeni? Je, sina nguvu ya kuwakomboa? Tazama! Kwa kuikemea kidogo bahari hukauka, na mito nikaifanya kuwa jangwa, samaki wake wakafa na kunuka kwa kukosa maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilipokuja, kwa nini hapakuwa hata mtu mmoja? Nilipoita, kwa nini hapakuwa hata mtu mmoja wa kujibu? Je, mkono wangu ni mfupi mno hata nisiweze kuwakomboa? Je, mimi sina nguvu za kukuokoa? Kwa kukemea tu naikausha bahari, naigeuza mito ya maji kuwa jangwa; samaki wake wanaoza kwa kukosa maji na kufa kwa ajili ya kiu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, nilipokuja, mbona hapakuwa na mtu? Nilipoita, mbona hapakuwa na mtu aliyenijibu? Je! Mkono wangu ni mfupi, hata nisiweze kukomboa? Au je! Mimi sina nguvu za kuponya? Tazama, kwa kukemea kwangu naikausha bahari, mito ya maji naifanya kuwa jangwa; samaki wao wanuka kwa sababu hapana maji, nao wafa kwa kiu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nilipokuja kwa nini sikukuta mtu? Nilipoita mbona hamkuitikia? Je, mkono wangu ni mfupi nisiweze kuwaokoeni? Je, sina nguvu ya kuwakomboa? Tazama! Kwa kuikemea kidogo bahari hukauka, na mito nikaifanya kuwa jangwa, samaki wake wakafa na kunuka kwa kukosa maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilipokuja, kwa nini hakuwepo hata mmoja? Nilipoita, kwa nini hakuwepo hata mmoja wa kujibu? Je, mkono wangu ni mfupi mno hata nisiweze kuwakomboa? Je, mimi sina nguvu za kukuokoa? Kwa kukemea tu naikausha bahari, naigeuza mito ya maji kuwa jangwa; samaki wake wanaoza kwa kukosa maji na kufa kwa ajili ya kiu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilipokuja, kwa nini hakuwepo hata mmoja? Nilipoita, kwa nini hakuwepo hata mmoja wa kujibu? Je, mkono wangu ni mfupi mno hata nisiweze kuwakomboa? Je, mimi sina nguvu za kukuokoa? Kwa kukemea tu naikausha bahari, naigeuza mito ya maji kuwa jangwa; samaki wake wanaoza kwa kukosa maji na kufa kwa ajili ya kiu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, nilipokuja, mbona hapakuwa na mtu? Nilipoita, mbona hapakuwa na mtu aliyenijibu? Je! Mkono wangu ni mfupi, hata nisiweze kukomboa? Au je! Mimi sina nguvu za kuponya? Tazama, kwa kukemea kwangu naikausha bahari, mito ya maji naifanya kuwa jangwa; samaki wao wanuka kwa sababu hapana maji, nao wafa kwa kiu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nilipokuja kwa nini sikukuta mtu? Nilipoita mbona hamkuitikia? Je, mkono wangu ni mfupi nisiweze kuwaokoeni? Je, sina nguvu ya kuwakomboa? Tazama! Kwa kuikemea kidogo bahari hukauka, na mito nikaifanya kuwa jangwa, samaki wake wakafa na kunuka kwa kukosa maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ilikuwaje, nisione mtu nilipofika? Au nilipoita, asijibu mtu? Je, Mokono wangu ulikuwa mfupi, usiweze kukomboa? Au je? Sinazo nguvu za kuponya? Tazameni! Kwa nguvu za makemeo yangu naikausha bahari, nayo mito naigeuza kuwa jangwa, samaki wao wanuke kwa kukosa maji wanapokufa kwa kiu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, nilipokuja, mbona hapakuwa na mtu? Nilipoita, mbona hapakuwa na mtu aliyenijibu? Je! Mkono wangu ni mfupi, hata nisiweze kukomboa? Au je! Mimi sina nguvu za kuponya? Tazama, kwa kukemea kwangu naikausha bahari, mito ya maji naifanya kuwa jangwa; samaki wao wanuka kwa sababu hapana maji, nao wafa kwa kiu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipokuja, kwa nini sikukuta mutu? Nilipoita mbona hamukuitikia? Mukono wangu ni mufupi hata nisiweze kuwaokoa ninyi? Sina nguvu ya kuwakomboa? Ninakausha bahari kwa kuikaripia, na mito ninaifanya kuwa jangwa; samaki wake wanakufa na kunuka kwa kukosa maji.