Isaiah 50:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi hulivika anga giza, na kulivalisha vazi la kuomboleza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninalivika anga weusi na kufanya gunia kuwa kifuniko chake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi nazivika mbingu weusi, nami nafanya nguo ya magunia kuwa kifuniko chao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi hulivika anga giza, na kulivalisha vazi la kuomboleza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninalivika anga weusi na kufanya nguo ya gunia kuwa kifuniko chake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninalivika anga weusi na kufanya nguo ya gunia kuwa kifuniko chake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi nazivika mbingu weusi, nami nafanya nguo ya magunia kuwa kifuniko chao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi hulivika anga giza, na kulivalisha vazi la kuomboleza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbingu nazivika weusi, ninapozifunika kama kwa gunia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi nazivika mbingu weusi, nami nafanya nguo ya magunia kuwa kifuniko chao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ninafunika anga kwa giza, na kulivalisha nguo ya kilio.