Isaiah 50:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bwana Mungu amenifanya msikivu, nami sikuwa mkaidi wala kugeuka mbali naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bwana Mungu Mwenyezi amezibua masikio yangu, nami sikuwa mwasi, wala sikurudi nyuma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana MUNGU amenizibua sikio langu, wala sikuwa mkaidi, wala sikurudi nyuma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bwana Mungu amenifanya msikivu, nami sikuwa mkaidi wala kugeuka mbali naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA Mwenyezi amezibua masikio yangu, nami sikuwa mwasi, wala sikurudi nyuma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana Mwenyezi amezibua masikio yangu, nami sikuwa mwasi, wala sikurudi nyuma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana MUNGU amenizibua sikio langu, wala sikuwa mkaidi, wala sikurudi nyuma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bwana Mungu amenifanya msikivu, nami sikuwa mkaidi wala kugeuka mbali naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu amenizibua sikio, nami sikukataaa, wala sikurudi nyuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana MUNGU amenizibua sikio langu, wala sikuwa mkaidi, wala sikurudi nyuma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bwana wetu Yawe amenifanya kuwa musikilivu, nami sikukataa wala kurudia nyuma.