Isaiah 50:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mgongo wangu niliwaachia walionipiga, mashavu yangu waliozingoa ndevu zangu; walioniaibisha na kunitemea mate, sikujificha mbali nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao, mashavu yangu wale wang’oao ndevu zangu; sikuuficha uso wangu kutokana na fedheha na kutemewa mate.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naliwatolea wapigao mgongo wangu, na wang'oao ndevu mashavu yangu; sikuficha uso wangu usipate fedheha na kutemewa mate.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mgongo wangu niliwaachia walionipiga, mashavu yangu waliozing'oa ndevu zangu; walioniaibisha na kunitemea mate, sikujificha mbali nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao, mashavu yangu wale wang'oao ndevu zangu; sikuuficha uso wangu kutokana na fedheha na kutemewa mate.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao, mashavu yangu wale wang’oao ndevu zangu; sikuuficha uso wangu kutokana na fedheha na kutemewa mate.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Niliwatolea wapigao mgongo wangu, na wang'oao ndevu mashavu yangu; sikuficha uso wangu usipate fedheha na kutemewa mate.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mgongo wangu niliwaachia walionipiga, mashavu yangu waliozingoa ndevu zangu; walioniaibisha na kunitemea mate, sikujificha mbali nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mgongo wangu nimeuelekezea wao walionipiga, nayo mashavu yangu wao walioning'oa ndevu, uso wangu sikuufichia wao walionitweza, ndio wao walionitemea mate.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naliwatolea wapigao mgongo wangu, na wang’oao ndevu mashavu yangu; sikuficha uso wangu usipate fedheha na kutemewa mate.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale walionipiga, niliwaelekezea mugongo wangu, wale walioziongoa ndevu zangu, mashavu yangu. Sikuficha uso wangu wakati watu waliponitukana na kunitemea mate.