Isaiah 50:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtetezi wangu yuko karibu. Ni nani atakayepingana nami? Na aje tusimame mahakamani. Adui yangu ni nani? Na ajitokeze mbele basi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye anipatiaye haki yangu yu karibu. Ni nani basi atakayeleta mashtaka dhidi yangu? Tukabiliane uso kwa uso! Mshtaki wangu ni nani? Ni nani aliye mshtaki wangu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye anipatiaye haki yangu yu karibu; ni nani atakayeshindana nami? Na tusimame pamoja; ni nani aliye hasimu yangu? Na anikaribie basi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtetezi wangu yuko karibu. Ni nani atakayepingana nami? Na aje tusimame mahakamani. Adui yangu ni nani? Na ajitokeze mbele basi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye anipatiaye haki yangu yu karibu. Ni nani basi atakayeleta mashtaka dhidi yangu? Tukabiliane uso kwa uso! Mshitaki wangu ni nani? Ni nani aliye mshitaki wangu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye anipatiaye haki yangu yu karibu. Ni nani basi atakayeleta mashtaka dhidi yangu? Tukabiliane uso kwa uso! Mshtaki wangu ni nani? Ni nani aliye mshtaki wangu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye anipatiaye haki yangu yu karibu; ni nani atakayeshindana nami? Na tusimame pamoja; ni nani aliye hasimu yangu? Na anikaribie basi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtetezi wangu yuko karibu. Ni nani atakayepingana nami? Na aje tusimame mahakamani. Adui yangu ni nani? Na ajitokeze mbele basi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko karibu atakayenishindisha; yuko nani atakayenigombeza? Na tutokee kusimama pamoja! Yuko nani atakayenipeleka shaurini? Na aje, twende!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye anipatiaye haki yangu yu karibu; ni nani atakayeshindana nami? Na tusimame pamoja; ni nani aliye hasimu yangu? Na anikaribie basi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muteteaji wangu yuko karibu. Ni nani atakayepingana nami? Akuje tusambe naye. Adui yangu ni nani? Ajitokeze mbele basi.