Isaiah 51:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nisikilizeni enyi mnaotaka kukombolewa, nyinyi mnaonitafuta mimi Mwenyezi-Mungu. Utazameni mwamba mlimochongwa, chimbo la mawe mlimochimbuliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nisikilizeni, ninyi mnaofuatia haki na mnaomtafuta Mwenyezi Mungu: Tazameni mwamba ambako mlichongwa, na mahali pa kuvunjia mawe ambako mlichimbwa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nisikilizeni, ninyi mnaoifuatia haki; ninyi mnaomtafuta Bwana; uangalieni mwamba ule ambao mlitolewa kwa kuchongwa, na tundu la shimo ambalo mlitolewa kwa kuchimbuliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nisikilizeni enyi mnaotaka kukombolewa, nyinyi mnaonitafuta mimi Mwenyezi-Mungu. Utazameni mwamba mlimochongwa, chimbo la mawe mlimochimbuliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nisikilizeni, ninyi mnaofuatia haki na mnaomtafuta BWANA: Tazameni katika mwamba ambako ndiko mlikokatwa na mahali pa kuvunjia mawe ambako ndiko mlikochongwa;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nisikilizeni, ninyi mnaofuatia haki na mnaomtafuta bwana: Tazameni mwamba ambako mlichongwa, na mahali pa kuvunjia mawe ambako mlichimbwa;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nisikilizeni, ninyi mnaoifuatia haki; ninyi mnaomtafuta BWANA; uangalieni mwamba ule ambao mlitolewa kwa kuchongwa, na tundu la shimo ambalo mlitolewa kwa kuchimbuliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nisikilizeni enyi mnaotaka kukombolewa, nyinyi mnaonitafuta mimi Mwenyezi-Mungu. Utazameni mwamba mlimochongwa, chimbo la mawe mlimochimbuliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nisikilizeni, ninyi mnaofuata yaongokayo, ninyi mnaomtafuta Bwana! Utazameni mwamba, ambao mlichongwa mumo humo! Litazameni shimo la kisima, ambalo mlichimbuliwa mumo humo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nisikilizeni, ninyi mnaoifuatia haki; ninyi mnaomtafuta BWANA; uangalieni mwamba ule ambao mlitolewa kwa kuchongwa, na tundu la shimo ambalo mlitolewa kwa kuchimbuliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Munisikilize enyi munaotaka kukombolewa, ninyi munaonitafuta mimi Yawe. Muangalie jiwe mulilochongwa toka ndani yake, mulima mulimochimbuliwa.