Isaiah 51:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; nivurugaye bahari, mawimbi yake yakanguruma; Mwenyezi-Mungu wa majeshi, ndilo jina langu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wako, ambaye huisukasuka bahari ili mawimbi yake yangurume: Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ndilo jina lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mimi ni Bwana, Mungu wako, niichafuaye bahari, mawimbi yake yakavuma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; nivurugaye bahari, mawimbi yake yakanguruma; Mwenyezi-Mungu wa majeshi, ndilo jina langu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana Mimi ndimi BWANA, Mungu wako, ambaye huisukasuka bahari ili mawimbi yake yangurume, BWANA Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana Mimi ndimi bwana, Mungu wako, ambaye huisukasuka bahari ili mawimbi yake yangurume: bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mimi ni BWANA, Mungu wako, niichafuaye bahari, mawimbi yake yakavuma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; nivurugaye bahari, mawimbi yake yakanguruma; Mwenyezi-Mungu wa majeshi, ndilo jina langu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mimi na Bwana Mungu wako, achafuaye bahari, mawimbi yake yaumuke; Bwana Mwenye vikosi ni Jina langu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mimi ni BWANA, Mungu wako, niichafuaye bahari, mawimbi yake yakavuma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ni Yawe, Mungu wako, ninayechafua bahari, zoruba yake ikinguruma; Yawe wa majeshi, ndilo jina langu!