Isaiah 51:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Majanga haya mawili yamekupata: Uharibifu na maangamizi; njaa na mauaji. Nani atakayekuonea huruma? Nani atakayekufariji?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Majanga haya mawili yamekuja juu yako: ni nani awezaye kukufariji? Maangamizi, uharibifu, njaa na upanga: ni nani awezaye kukutuliza?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mambo haya mawili yamekupata; Ni nani awezaye kukusikitikia? Ukiwa na uharibifu, na njaa na upanga; Niwezeje kukutuliza?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Majanga haya mawili yamekupata: uharibifu na maangamizi; njaa na mauaji. Nani atakayekuonea huruma? Nani atakayekufariji?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Majanga haya mawili yamekuja juu yako: ni nani awezaye kukufariji? Maangamizi, uharibifu, njaa na upanga: ni nani awezaye kukutuliza?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Majanga haya mawili yamekuja juu yako: ni nani awezaye kukufariji? Maangamizi, uharibifu, njaa na upanga: ni nani awezaye kukutuliza?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mambo haya mawili yamekupata; Ni nani awezaye kukusikitikia? Ukiwa na uharibifu, na njaa na upanga; Niwezeje kukutuliza?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Majanga haya mawili yamekupata: Uharibifu na maangamizi; njaa na mauaji. Nani atakayekuonea huruma? Nani atakayekufariji?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo yaliyokupata ni haya mawili, -lakini yuko nani atakayekupongeza?- kuvunjwa na kubomolewa, tena kuuawa kwa njaa na kwa panga, lakini nitawezaje kukutuliza moyo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mambo haya mawili yamekupata; Ni nani awezaye kukusikitikia? Ukiwa na uharibifu, na njaa na upanga; Niwezeje kukutuliza?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hasara hizi mbili zimekupata: uharibifu na maangamizi; njaa na mauaji. Nani atakayekuonea huruma? Nani atakayekufariji?