Isaiah 51:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkumbukeni Abrahamu babu yenu, na Sara aliyewazaa nyinyi. Abrahamu alikuwa hana mtoto wakati nilipomwita, lakini nilimbariki na kumfanya kuwa na wengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mwangalieni Ibrahimu, baba yenu, na Sara, ambaye aliwazaa. Wakati nilimwita alikuwa mmoja tu, nami nikambariki na kumfanya kuwa wengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwangalieni Ibrahimu, baba yenu, na Sara, aliyewazaa; kwa maana alipokuwa mmoja tu nalimwita, nikambariki, nikamfanya kuwa wengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkumbukeni Abrahamu babu yenu, na Sara aliyewazaa nyinyi. Abrahamu alikuwa hana mtoto wakati nilipomwita, lakini nilimbariki na kumfanya kuwa na wengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mwangalieni Abrahamu, baba yenu, na Sara, ambaye ndiye aliyewazaa. Wakati nilipomwita alikuwa mmoja tu, nami nikambariki na kumfanya kuwa wengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mwangalieni Ibrahimu, baba yenu, na Sara, ambaye aliwazaa. Wakati nilipomwita alikuwa mmoja tu, nami nikambariki na kumfanya kuwa wengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwangalieni Abrahamu, baba yenu, na Sara, aliyewazaa; kwa maana alipokuwa mmoja tu nilimwita, nikambariki, nikamfanya kuwa wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkumbukeni Abrahamu babu yenu, na Sara aliyewazaa nyinyi. Abrahamu alikuwa hana mtoto wakati nilipomwita, lakini nilimbariki na kumfanya kuwa na wengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtazameni baba yenu Aburahamu na mzazi wenu Sara! Nilimwita yeye mmoja tu, nikambariki, nikampa kuwa wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwangalieni Ibrahimu, baba yenu, na Sara, aliyewazaa; kwa maana alipokuwa mmoja tu nalimwita, nikambariki, nikamfanya kuwa wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukumbuke Abrahamu babu yenu, na Sara aliyewazaa ninyi. Abrahamu alikuwa hana mutoto wakati nilipomwita, lakini nilimubariki na kumufanya kuwa na wengi.