Isaiah 51:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wako wamezirai, wamelala pembeni mwa kila barabara, wako kama paa aliyenaswa wavuni. Wamepatwa na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu, wamepatwa na adhabu ya Mungu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wako wamezimia, wamelala kwenye mwanzo wa kila barabara, kama swala aliyenaswa kwenye wavu. Wamejazwa na ghadhabu ya Mwenyezi Mungu na makaripio ya Mungu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wako wamezimia, Wamelala penye pembe za njia kuu zote Kama kulungu wavuni; Wamejaa hasira ya Bwana, Lawama ya Mungu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wako wamezirai, wamelala pembeni mwa kila barabara, wako kama paa aliyenaswa wavuni. Wamepatwa na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu, wamepatwa na adhabu ya Mungu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wako wamezimia, wamelala kwenye mwanzo wa kila barabara, kama swala aliyenaswa kwenye wavu. Wamejazwa na ghadhabu ya BWANA na makaripio ya Mungu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wako wamezimia, wamelala kwenye mwanzo wa kila barabara, kama swala aliyenaswa kwenye wavu. Wamejazwa na ghadhabu ya bwana na makaripio ya Mungu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wako wamezimia, Wamelala penye pembe za njia kuu zote Kama kulungu wavuni; Wamejaa hasira ya BWANA, Lawama ya Mungu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wako wamezirai, wamelala pembeni mwa kila barabara, wako kama paa aliyenaswa wavuni. Wamepatwa na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu, wamepatwa na adhabu ya Mungu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanao wa kiume walikuwa wamezimia, wakalala pembeni kwenye njia zote za mji, wakawa kama paa waliokamatwa na wavu, kwa kuwa walileweshwa na makali yake Bwana, na makemeo yake Mungu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wako wamezimia, Wamelala penye pembe za njia kuu zote Kama kulungu wavuni; Wamejaa hasira ya BWANA, Lawama ya Mungu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoto wako wamezimia, wamelala pembeni ya kila barabara, wako kama paa aliyenaswa ndani ya mutego. Wamepatwa na kasirani ya Yawe, wamepatwa na azabu ya Mungu wako.