Isaiah 51:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nisikilizeni enyi mjuao mambo ya haki, ambao sheria zangu zimo mioyoni mwenu. Msiogope dharau za watu, wala kufadhaishwa na masimango yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nisikieni, ninyi mnaojua lililo sawa, ninyi watu ambao mna sheria yangu mioyoni mwenu: Msiogope mashutumu ya wanadamu wala msitiwe hofu na matukano yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nisikilizeni, ninyi mjuao haki, watu ambao mioyoni mwenu mna sheria yangu; msiogope matukano ya watu, wala msifadhaike kwa sababu ya dhihaka zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nisikilizeni enyi mjuao mambo ya haki, ambao sheria zangu zimo mioyoni mwenu. Msiogope dharau za watu, wala kufadhaishwa na masimango yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nisikieni, ninyi mnaojua lile lililo sawa, ninyi watu ambao mna sheria yangu mioyoni mwenu: Msiogope mashutumu ya wanadamu wala msitiwe hofu na matukano yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nisikieni, ninyi mnaojua lililo sawa, ninyi watu ambao mna sheria yangu mioyoni mwenu: Msiogope mashutumu ya wanadamu wala msitiwe hofu na matukano yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nisikilizeni, ninyi mjuao haki, watu ambao mioyoni mwenu mna sheria yangu; msiogope masuto ya watu, wala msifadhaike kwa sababu ya dhihaka zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nisikilizeni enyi mjuao mambo ya haki, ambao sheria zangu zimo mioyoni mwenu. Msiogope dharau za watu, wala kufadhaishwa na masimango yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nisikilizeni, ninyi mjuao yaongokayo, mlio watu wayashikao Maonyo yangu mioyoni mwenu, msiogope kutwezwa na watu, wala msiyastukie matusi yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nisikilizeni, ninyi mjuao haki, watu ambao mioyoni mwenu mna sheria yangu; msiogope matukano ya watu, wala msifadhaike kwa sababu ya dhihaka zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munisikilize, enyi munaojua mambo ya haki, ambao sheria zangu ziko ndani ya mioyo yenu. Musiogope mazarau ya watu, wala kufazaishwa na masimango yao.