Isaiah 52:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Safari hii hamtatoka kwa haraka, wala hamtaondoka mbiombio! Maana Mwenyezi-Mungu atawatangulieni, Mungu wa Israeli atawalinda kutoka nyuma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hamtaondoka kwa haraka, wala hamtaenda kwa kukimbia; kwa maana Mwenyezi Mungu atatangulia mbele yenu, Mungu wa Israeli atakuwa mlinzi nyuma yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hamtatoka kwa haraka, wala hamtakwenda kwa kukimbia, kwa sababu Bwana atawatangulia; na Mungu wa Israeli atawafuata nyuma; awalinde.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Safari hii hamtatoka kwa haraka, wala hamtaondoka mbiombio! Maana Mwenyezi-Mungu atawatangulieni, Mungu wa Israeli atawalinda kutoka nyuma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hamtaondoka kwa haraka, wala hamtakwenda kwa kukimbia; kwa maana BWANA atatangulia mbele yenu, Mungu wa Israeli atakuwa mlinzi nyuma yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hamtaondoka kwa haraka, wala hamtakwenda kwa kukimbia; kwa maana bwana atatangulia mbele yenu, Mungu wa Israeli atakuwa mlinzi nyuma yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hamtatoka kwa haraka, wala hamtakwenda kwa kukimbia, kwa sababu BWANA atawatangulia; na Mungu wa Israeli atawafuata nyuma; awalinde.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Safari hii hamtatoka kwa haraka, wala hamtaondoka mbiombio! Maana Mwenyezi-Mungu atawatangulieni, Mungu wa Israeli atawalinda kutoka nyuma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hamtatoka upesiupesi, wala hamtakwenda na kukimbia, kwani atakayewaongoza ni Bwana, naye atakayewakusanya nyuma ni Mungu wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hamtatoka kwa haraka, wala hamtakwenda kwa kukimbia, kwa sababu BWANA atawatangulia; na Mungu wa Israeli atawafuata nyuma; awalinde.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara hii hamutatoka kwa haraka, wala hamutaondoka mbiombio! Maana Yawe atawatangulia, Mungu wa Israeli atawalinda nyuma yenu.