Isaiah 52:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu asema hivi: “Mtumishi wangu atafanikiwa; atatukuzwa na kupewa cheo, atapata heshima kuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa hekima; atatukuzwa, na kuinuliwa juu, na kukwezwa sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa busara, atatukuzwa, na kuinuliwa juu, naye atakuwa juu sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu asema hivi: “Mtumishi wangu atafanikiwa; atatukuzwa na kupewa cheo, atapata heshima kuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa hekima; atatukuzwa na kuinuliwa juu na kukwezwa sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa hekima; atatukuzwa, na kuinuliwa juu, na kukwezwa sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa busara, atatukuzwa, na kuinuliwa juu, naye atakuwa juu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu asema hivi: “Mtumishi wangu atafanikiwa; atatukuzwa na kupewa cheo, atapata heshima kuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtazameni mtumishi wangu, jinsi atakavyoendelea kwa welekevu: atatukuka na kukwezwa, awe mkuu kabisa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa busara, atatukuzwa, na kuinuliwa juu, naye atakuwa juu sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anasema hivi: Mutumishi wangu atafanikiwa; atatukuzwa na kupewa cheo, atapata heshima kubwa.