Isaiah 52:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wengi waliomwona walishtuka, kwa vile sura yake ilikuwa imeharibiwa; hakuwa tena na umbo la kibinadamu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama walivyokuwa wengi walioshangazwa naye, kwani uso wake ulikuwa umeharibiwa sana zaidi ya mtu yeyote na umbo lake kuharibiwa zaidi ya mfano wa mwanadamu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama vile wengi walivyokustaajabia, (uso wake ulikuwa umeharibiwa sana zaidi ya mtu ye yote, na umbo lake zaidi ya wanadamu),
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wengi waliomwona walishtuka, kwa vile sura yake ilikuwa imeharibiwa; hakuwa tena na umbo la kibinadamu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ambavyo walikuweko wengi walioshangazwa naye, uso wake ulikuwa umeharibiwa sana zaidi ya mtu ye yote na umbo lake kuharibiwa zaidi ya mfano wa mwanadamu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama walivyokuwa wengi walioshangazwa naye, kwani uso wake ulikuwa umeharibiwa sana zaidi ya mtu yeyote na umbo lake kuharibiwa zaidi ya mfano wa mwanadamu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama vile wengi walivyokustaajabia, (uso wake ulikuwa umeharibiwa sana zaidi ya mtu yeyote, na umbo lake zaidi ya wanadamu),
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wengi waliomwona walishtuka, kwa vile sura yake ilikuwa imeharibiwa; hakuwa tena na umbo la kibinadamu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama wengi walivyokustuka, watamstuka naye: kwa kuwa walipomtazama alikuwa amenyongeka kuliko watu, nalo umbo lake halikuwa kama la wana wa watu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama vile wengi walivyokustaajabia, (uso wake ulikuwa umeharibiwa sana zaidi ya mtu ye yote, na umbo lake zaidi ya wanadamu),
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wengi waliomwona walishituka, kwa vile sura yake ilikuwa imeharibika; hakukuwa tena na umbo la mwanadamu!