Isaiah 52:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena mwanzoni nyinyi watu wangu mlikimbilia Misri mkakaa huko. Halafu baadaye Waashuru waliwakandamiza bila sababu yoyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: “Hapo kwanza watu wangu walishuka Misri kuishi, hatimaye, Ashuru wakawadhulumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana MUNGU asema hivi, Watu wangu hapo kwanza walishuka Misri ili wakae huko hali ya ugeni; na Mwashuri akawaonea bila sababu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena mwanzoni nyinyi watu wangu mlikimbilia Misri mkakaa huko. Halafu baadaye Waashuru waliwakandamiza bila sababu yoyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana hili ndilo asemalo BWANA Mwenyezi: “Hapo kwanza watu wangu walishuka Misri kuishi, hatimaye, Ashuru wakawaonea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana hili ndilo asemalo bwana Mwenyezi: “Hapo kwanza watu wangu walishuka Misri kuishi, hatimaye, Ashuru wakawaonea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Bwana MUNGU asema hivi, Watu wangu hapo kwanza walishuka Misri ili wakae huko kama wageni; na Mwashuri akawaonea bila sababu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena mwanzoni nyinyi watu wangu mlikimbilia Misri mkakaa huko. Halafu baadaye Waashuru waliwakandamiza bila sababu yoyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Misri ndiko, walikotelemkia kwanza walio ukoo wangu, wakae huko; lakini Waasuri wamewakorofisha bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Bwana MUNGU asema hivi, Watu wangu hapo kwanza walishuka Misri ili wakae huko hali ya ugeni; na Mwashuri akawaonea bila sababu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena zamani ninyi watu wangu mulikimbilia Misri mukakaa kule. Halafu nyuma Waasuria waliwagandamiza bila sababu yoyote.