Isaiah 52:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika hali ya sasa napata faida gani kuwaona watu wangu wamepelekwa utumwani? Hao wanaowatawala wanajitapa. Nalo jina langu laendelea kudharauliwa kila siku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Basi sasa nina nini hapa?” asema Mwenyezi Mungu. “Kwa kuwa watu wangu wamechukuliwa pasipo malipo, nao wale wanaowatawala wanawadhihaki,” asema Mwenyezi Mungu. “Mchana kutwa jina langu limetukanwa bila kikomo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, nafanya nini hapa, asema Bwana, ikiwa watu wangu wamechukuliwa bure? Hao wanaowatawala wanapiga yowe, asema Bwana, na jina langu linatukanwa daima mchana kutwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika hali ya sasa napata faida gani kuwaona watu wangu wamepelekwa utumwani? Hao wanaowatawala wanajitapa. Nalo jina langu laendelea kudharauliwa kila siku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Basi sasa nina nini hapa?” asema BWANA. “Kwa kuwa watu wangu wamechukuliwa pasipo malipo, nao wale wanaowatawala wanawadhihaki,” asema BWANA. “Mchana kutwa jina langu limetukanwa bila kikomo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Basi sasa nina nini hapa?” asema bwana. “Kwa kuwa watu wangu wamechukuliwa pasipo malipo, nao wale wanaowatawala wanawadhihaki,” asema bwana. “Mchana kutwa jina langu limetukanwa bila kikomo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, nafanya nini hapa, asema BWANA, ikiwa watu wangu wamechukuliwa bure? Hao wanaowatawala wanapiga yowe, asema BWANA, na jina langu linatukanwa daima mchana kutwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika hali ya sasa napata faida gani kuwaona watu wangu wamepelekwa utumwani? Hao wanaowatawala wanajitapa. Nalo jina langu laendelea kudharauliwa kila siku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa inakuwaje? Ninapata nini hapo? ndivyo, asemavyo Bwana. Walio ukoo wangu wamechukuliwa bure, nao wanaowatawala hulia kwa furaha, tena siku zote Jina langu hutukanwa; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, nafanya nini hapa, asema BWANA, ikiwa watu wangu wamechukuliwa bure? Hao wanaowatawala wanapiga yowe, asema BWANA, na jina langu linatukanwa daima mchana kutwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika hali ya sasa ninapata faida gani kuwaona watu wangu wamepelekwa katika utumwa? –Ni ujumbe wa Yawe. Hao wanaowatawala wanajitapa. Nalo jina langu linaendelea kuzarauliwa kila siku. –Ni ujumbe wa Yawe.