Isaiah 52:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikiliza sauti ya walinzi wako; wanaimba pamoja kwa furaha, maana wanaona kwa macho yao wenyewe, kurudi kwa Mwenyezi-Mungu mjini Siyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikiliza! Walinzi wako wanapaza sauti zao, pamoja wanapaza sauti zao kwa furaha. Mwenyezi Mungu atakaporejea Sayuni, wataliona kwa macho yao wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti ya walinzi wako! Wanapaza sauti zao, wanaimba pamoja; Maana wataona jicho kwa jicho, Jinsi Bwana arejeavyo Sayuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikiliza sauti ya walinzi wako; wanaimba pamoja kwa furaha, maana wanaona kwa macho yao wenyewe, kurudi kwa Mwenyezi-Mungu mjini Siyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikiliza! Walinzi wako wanapaza sauti zao, kwa pamoja wanapaza sauti zao kwa furaha. Wakati BWANA atakaporejea Sayuni, wataliona kwa macho yao wenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikiliza! Walinzi wako wanapaza sauti zao, pamoja wanapaza sauti zao kwa furaha. Wakati bwana atakaporejea Sayuni, wataliona kwa macho yao wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti ya walinzi wako! Wanapaza sauti zao, wanaimba pamoja; Maana wataona jicho kwa jicho, Jinsi BWANA arejeavyo Sayuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikiliza sauti ya walinzi wako; wanaimba pamoja kwa furaha, maana wanaona kwa macho yao wenyewe, kurudi kwa Mwenyezi-Mungu mjini Siyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zisikilize sauti za walinzi wako! Wamepaza sauti pamoja na kupiga shangwe, kwani wanaona na macho yao, Bwana akirudi Sioni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti ya walinzi wako! Wanapaza sauti zao, wanaimba pamoja; Maana wataona jicho kwa jicho, Jinsi BWANA arejeavyo Sayuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikiliza sauti ya walinzi wako; wanaimba pamoja kwa furaha, maana wanaona kwa macho yao wenyewe kurudi kwa Yawe katika Sayuni.