Isaiah 53:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani aliyeamini mambo tuliyosikia? Nani aliyetambua kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu ulihusika?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani aliyeamini ujumbe wetu, na mkono wa Mwenyezi Mungu umefunuliwa kwa nani?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta? Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani aliyeamini mambo tuliyosikia? Nani aliyetambua kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu ulihusika?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani aliyeamini ujumbe wetu na mkono wa BWANA umefunuliwa kwa nani?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani aliyeamini ujumbe wetu, na mkono wa bwana umefunuliwa kwa nani?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta? Na mkono wa BWANA amefunuliwa nani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani aliyeamini mambo tuliyosikia? Nani aliyetambua kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu ulihusika?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Yuko nani anayeutegemea utume wetu? Yuko nani aliyefumbuliwa, mkono wake Bwana unayoyafanya?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta? Na mkono wa BWANA amefunuliwa nani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani aliyeamini mambo tuliyoyasikia? Mukono wa Mungu umefunuliwa kwa ajili ya nani?