Isaiah 53:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo alivumilia majonzi yetu, na kubeba huzuni zetu. Sisi tulifikiri amepata adhabu, amepigwa na Mungu na kuteswa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika alichukua udhaifu wetu na akajitwika huzuni zetu; tulidhania kuwa ameadhibiwa na Mungu, naye akapigwa sana na kujeruhiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo alivumilia majonzi yetu, na kubeba huzuni zetu. Sisi tulifikiri amepata adhabu, amepigwa na Mungu na kuteswa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika alichukua udhaifu wetu na akajitwika huzuni zetu, hata hivyo tulifikiri amepigwa na Mungu, amepigwa sana naye na kuteswa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika alichukua udhaifu wetu na akajitwika huzuni zetu, hata hivyo tulidhania kuwa amepigwa na Mungu, akapigwa sana naye, na kuteswa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo alivumilia majonzi yetu, na kubeba huzuni zetu. Sisi tulifikiri amepata adhabu, amepigwa na Mungu na kuteswa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe ameyachukua manyonge yetu, akajitwisha maumivu yetu, nasi tukamwazia kwamba: Ameteswa na Mungu, akapigwa naye, anyongeke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo alitwaa mateso yetu, na kubeba huzuni zetu. Sisi tulifikiri amepata azabu, amepigwa na Mungu na kuteswa.