Isaiah 53:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisi sote tumepotea kama kondoo, kila mmoja wetu ameelekea njia yake. Lakini Mwenyezi-Mungu alimtwika adhabu, ambayo sisi wenyewe tuliistahili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sisi sote, kama kondoo, tumepotea, kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe, naye Mwenyezi Mungu aliweka juu yake maovu yetu sisi sote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na Bwana ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sisi sote tumepotea kama kondoo, kila mmoja wetu ameelekea njia yake. Lakini Mwenyezi-Mungu alimtwika adhabu, ambayo sisi wenyewe tuliistahili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sisi sote, kama kondoo, tumepotea, kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe, naye BWANA aliweka juu yake maovu yetu sisi sote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sisi sote, kama kondoo, tumepotea, kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe, naye bwana aliweka juu yake maovu yetu sisi sote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na BWANA ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisi sote tumepotea kama kondoo, kila mmoja wetu ameelekea njia yake. Lakini Mwenyezi-Mungu alimtwika adhabu, ambayo sisi wenyewe tuliistahili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sote tulikuwa tumepotea kama kondoo, kila mtu akiishika njia yake, naye Bwana akampigia manza, tulizozikora sisi wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na BWANA ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisi wote tumepotea kama kondoo, kila mumoja wetu ameelekea njia yake. Lakini Yawe alimubebesha azabu, ambayo sisi wenyewe tuliistahili.