Isaiah 54:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Minara yako nitaijenga kwa mawe ya akiki, malango yako kwa almasi, na ukuta wako kwa mawe ya thamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitafanya minara yako ya akiki, malango yako kwa vito ving’aavyo, nazo kuta zako zote za vito vya thamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaifanya minara yako ya akiki nyekundu, na malango yako ya almasi, na mipaka yako yote ya mawe yapendezayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Minara yako nitaijenga kwa mawe ya akiki, malango yako kwa almasi, na ukuta wako kwa mawe ya thamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitafanya minara yako ya akiki, malango yako kwa vito ving'aavyo, nazo kuta zako zote za mawe ya thamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitafanya minara yako ya akiki, malango yako kwa vito ving’aavyo, nazo kuta zako zote za vito vya thamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaifanya minara yako ya akiki nyekundu, na malango yako ya almasi, na mipaka yako yote ya mawe yapendezayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Minara yako nitaijenga kwa mawe ya akiki, malango yako kwa almasi, na ukuta wako kwa mawe ya thamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Minara yako nitaijenga kwa mawe ya yaspi, nayo malango yako kwa mawe yamulikayo, nalo boma lako zima kwa mawe ya vito vizuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaifanya minara yako ya akiki nyekundu, na malango yako ya almasi, na mipaka yako yote ya mawe yapendezayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Minara yako nitaijenga kwa mawe ya akiki, milango yako kwa almasi, na ukuta wako kwa mawe ya bei kali.