Isaiah 54:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Watu wako watafunzwa nami Mwenyezi-Mungu, wanao watapata ustawi mwingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watoto wako wote watafundishwa na Mwenyezi Mungu, nayo amani ya watoto wako itakuwa kuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watoto wako wote watafundishwa na Bwana; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Watu wako watafunzwa nami Mwenyezi-Mungu, wanao watapata ustawi mwingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watoto wako wote watafundishwa na BWANA, nayo amani ya watoto wako itakuwa kuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watoto wako wote watafundishwa na bwana, nayo amani ya watoto wako itakuwa kuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watoto wako wote watafundishwa na BWANA; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Watu wako watafunzwa nami Mwenyezi-Mungu, wanao watapata ustawi mwingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watoto wako wote watakuwa wamefundishwa na Bwana, hivyo watoto wako watakuwa wametengemana kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watoto wako wote watafundishwa na BWANA; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wako watafundishwa nami Yawe, wana wako watapata ustawi mwingi.