Isaiah 54:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utaimarika katika uadilifu, utakuwa mbali na dhuluma, nawe hutaogopa kitu; utakuwa mbali na hofu, maana haitakukaribia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa haki utathibitika: Kuonewa kutakuwa mbali nawe; hutaogopa chochote. Hofu itakuwa mbali nawe; haitakukaribia wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utathibitika katika haki; utakuwa mbali na kuonewa, kwa maana hutaogopa; na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utaimarika katika uadilifu, utakuwa mbali na dhuluma, nawe hutaogopa kitu; utakuwa mbali na hofu, maana haitakukaribia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa haki utathibitika: Kuonewa kutakuwa mbali nawe; hutaogopa cho chote. Hofu itakuwa mbali nawe; haitakukaribia wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa haki utathibitika: Kuonewa kutakuwa mbali nawe; hutaogopa chochote. Hofu itakuwa mbali nawe; haitakukaribia wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utathibitika katika haki; utakuwa mbali na kuonewa, kwa maana hutaogopa; na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utaimarika katika uadilifu, utakuwa mbali na dhuluma, nawe hutaogopa kitu; utakuwa mbali na hofu, maana haitakukaribia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wongofu wao utakuwa nguvu zako; kwa hiyo jitenge na ukorofi! Kwani hakuna kitakachokuogopesha. Acha kustuka! Kwani hakuna tisho litakalokufikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utathibitika katika haki; utakuwa mbali na kuonewa, kwa maana hutaogopa; na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utaimarishwa katika haki, mbali na kaoneo, nawe hautaogopa kitu; mbali na hofu, maana haitakukaribia.