Isaiah 54:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu yeyote akija kukushambulia, hatakuwa ametumwa nami. Yeyote atakayekushambulia, ataangamia mbele yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu yeyote akikushambulia, haitakuwa kwa ruhusa yangu; yeyote akushambuliaye atajisalimisha kwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, yamkini watakusanyana; lakini si kwa shauri langu. Watu wo wote watakaokusanyana juu yako wataanguka kwa ajili yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu yeyote akija kukushambulia, hatakuwa ametumwa nami. yeyote atakayekushambulia, ataangamia mbele yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu ye yote akikushambulia, haitakuwa kwa ruhusa yangu; ye yote akushambuliaye atajisalimisha kwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu yeyote akikushambulia, haitakuwa kwa ruhusa yangu; yeyote akushambuliaye atajisalimisha kwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, hakika ikiwa utashambuliwa na yeyote, haitakuwa kwa shauri langu. Yeyote atakayekushambulia ataanguka kwa ajili yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu yeyote akija kukushambulia, hatakuwa ametumwa nami. Yeyote atakayekushambulia, ataangamia mbele yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama wanakujia, si kwa kuagizwa na mimi; kwa hiyo yuko nani atakayekujia, akupige? Hapo atakapopigana na wewe ataanguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, yamkini watakusanyana; lakini si kwa shauri langu. Watu wo wote watakaokusanyana juu yako wataanguka kwa ajili yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote akikuja kukushambulia, hatakuwa ametumwa nami. Yeyote atakayekushambulia, ataangamia mbele yako.