Isaiah 54:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Panua nafasi hemani mwako, tandaza mapazia hapo unapoishi, usijali gharama zake. Zirefushe kamba zake, na kuimarisha vigingi vyake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Panua mahali pa hema lako, tandaza mapazia ya hema lako uyaeneze mbali, wala usiyazuie; ongeza urefu wa kamba zako, imarisha vigingi vyako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Panua mahali pa hema yako, na wayatandaze mapazia ya maskani yako; usiwakataze; ongeza urefu wa kamba zako; vikaze vigingi vya hema yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Panua nafasi hemani mwako, tandaza mapazia hapo unapoishi, usijali gharama zake. Zirefushe kamba zake, na kuimarisha vigingi vyake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Panua mahali pa hema lako, tandaza mapazia ya hema lako uyaeneze mbali, wala usiyazuie; ongeza urefu wa kamba zako, imarisha vigingi vyako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Panua mahali pa hema lako, tandaza mapazia ya hema lako uyaeneze mbali, wala usiyazuie; ongeza urefu wa kamba zako, imarisha vigingi vyako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Panua mahali pa hema yako, na wayatandaze mapazia ya maskani yako; usiwakataze; ongeza urefu wa kamba zako; vikaze vigingi vya hema yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Panua nafasi hemani mwako, tandaza mapazia hapo unapoishi, usijali gharama zake. Zirefushe kamba zake, na kuimarisha vigingi vyake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Papanue mahali pa hema lako! Nazo nguo za hema za makao yako na waziwambe na kuzivuta! Usiwazuie! Kamba za hema ziongeze, ziwe ndefu! Mambo zake zipigilie, zishike vema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Panua mahali pa hema yako, na wayatandaze mapazia ya maskani yako; usiwakataze; ongeza urefu wa kamba zako; vikaze vigingi vya hema yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Panua nafasi katika hema yako, ongeza mapazia ya makao yako, usijali mali unayotumia. Urefushe kamba zako, na kuimarisha misumari yako;