Isaiah 55:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Haya! Kila mwenye kiu na aje kwenye maji! Njoni, nyote hata msio na fedha; nunueni ngano mkale, nunueni divai na maziwa. Bila fedha, bila gharama!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Haya! Njooni, ninyi nyote wenye kiu, njooni kwenye maji; nanyi ambao hamna fedha, njooni, nunueni na mle! Njooni, nunueni divai na maziwa bila fedha na bila gharama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle; Naam, njoni, nunueni divai na maziwa, Bila fedha na bila thamani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Haya! Kila mwenye kiu na aje kwenye maji! Njoni, nyote hata msio na fedha; nunueni ngano mkale, nunueni divai na maziwa. Bila fedha, bila gharama!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Njoni, ninyi nyote wenye kiu, njoni kwenye maji; nanyi ambao hamna fedha, njoni, nunueni na mle! Njoni, nunueni divai na maziwa bila fedha na bila gharama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Njooni, ninyi nyote wenye kiu, njooni kwenye maji; nanyi ambao hamna fedha, njooni, nunueni na mle! Njooni, nunueni divai na maziwa bila fedha na bila gharama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle; Naam, njoni, nunueni divai na maziwa, Bila fedha na bila gharama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Haya! Kila mwenye kiu na aje kwenye maji! Njoni, nyote hata msio na fedha; nunueni ngano mkale, nunueni divai na maziwa. Bila fedha, bila gharama!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyote mwonao kiu, njoni kwenye maji! Nanyi mkosao fedha, njoni kununua, mpate kula! Nunueni pasipo fedha bure tu mvinyo na maziwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle; Naam, njoni, nunueni divai na maziwa, Bila fedha na bila thamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee ninyi wote wenye kiu mukuje kwenye maji! Mukuje, wote hata musiokuwa na feza; mununue chakula na mupate kula, mununue divai na maziwa. Bila feza, bila malipo!