Isaiah 55:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vivyo hivyo na neno langu mimi: Halitanirudia bila mafanikio, bali litatekeleza matakwa yangu, litafanikiwa lengo nililoliwekea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ndivyo lilivyo neno langu litokalo kinywani mwangu: Halitanirudia tupu, bali litatimiliza lile nililokusudia, na litafanikiwa katika kusudi lile nililolituma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vivyo hivyo na neno langu mimi: halitanirudia bila mafanikio, bali litatekeleza matakwa yangu, litafanikiwa lengo nililoliwekea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ndivyo lilivyo neno langu lile litokalo kinywani mwangu: Halitanirudia tupu, bali litatimiliza lile nililokusudia na litafanikiwa katika kusudi lile nililolituma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ndivyo lilivyo neno langu lile litokalo kinywani mwangu: Halitanirudia tupu, bali litatimiliza lile nililokusudia na litafanikiwa katika kusudi lile nililolituma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vivyo hivyo na neno langu mimi: Halitanirudia bila mafanikio, bali litatekeleza matakwa yangu, litafanikiwa lengo nililoliwekea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndivyo, litakavyokuwa Neno langu litokalo kinywani mwangu, nalo halitarudi kwangu bure lisipokwisha kufanya yanipendezayo, lipate kuyatimiza, ambayo nililituma kuyafanya.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ni vilevile na neno langu mimi: halitanirudilia bila mafanikio, lakini litatimiza mapenzi yangu, litafikia shabaha nililoliwekea.