Isaiah 55:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tegeni sikio enyi watu wangu, mje kwangu; nisikilizeni, ili mpate kuishi. Nami nitafanya nanyi agano la milele; nitawapeni fadhili nilizomwahidi Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tegeni sikio mje kwangu, nisikieni mimi, ili nafsi zenu zipate kuishi. Nitafanya agano la milele nanyi, pendo la uaminifu nililomwahidi Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tegeni masikio yenu, na kunijia; Sikieni, na nafsi zenu zitaishi; Nami nitafanya nanyi agano la milele, Naam, rehema za Daudi zilizo imara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tegeni sikio enyi watu wangu, mje kwangu; nisikilizeni, ili mpate kuishi. Nami nitafanya nanyi agano la milele; nitawapeni fadhili nilizomwahidi Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tegeni sikio mje kwangu, nisikieni mimi, ili nafsi zenu zipate kuishi. Nitafanya Agano la milele nanyi, pendo la uaminifu nililomwahidi Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tegeni sikio mje kwangu, nisikieni mimi, ili nafsi zenu zipate kuishi. Nitafanya agano la milele nanyi, pendo la uaminifu nililomwahidi Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tegeni masikio yenu, na kunijia; Sikieni, na nafsi zenu zitaishi; Nami nitafanya nanyi agano la milele, Naam, rehema za Daudi zilizo imara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tegeni sikio enyi watu wangu, mje kwangu; nisikilizeni, ili mpate kuishi. Nami nitafanya nanyi agano la milele; nitawapeni fadhili nilizomwahidi Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yategeni masikio yenu! Njoni kwangu, mnisikie, roho zenu zipate kupona! Nami nitafanya nanyi agano la kale na kale la kuwapa magawio ya Dawidi yanayotegemeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tegeni masikio yenu, na kunijia; Sikieni, na nafsi zenu zitaishi; Nami nitafanya nanyi agano la milele, Naam, rehema za Daudi zilizo imara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutege sikio, enyi watu wangu, mukuje kwangu; munisikilize, kusudi mupate kuishi. Nami nitafanya nanyi agano la milele; nitawatendea mema niliyomwahidi Daudi.