Isaiah 55:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtafuteni Mwenyezi-Mungu wakati bado anapatikana, mwombeni msaada wakati yupo bado karibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtafuteni Mwenyezi Mungu maadamu anapatikana; mwiteni maadamu yu karibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtafuteni Bwana, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtafuteni Mwenyezi-Mungu wakati bado anapatikana, mwombeni msaada wakati yupo bado karibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtafuteni BWANA maadamu anapatikana; mwiteni maadamu yu karibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtafuteni bwana maadamu anapatikana; mwiteni maadamu yu karibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yuko karibu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtafuteni Mwenyezi-Mungu wakati bado anapatikana, mwombeni msaada wakati yupo bado karibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Mtafuteni Bwana, akingali yuko, aoneke! Mwiteni, akingali karibu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumutafute Yawe wakati angali anaweza kupatikana, mumwombe musaada wakati angali karibu.