Isaiah 55:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Mawazo yangu si kama mawazo yenu, wala njia zangu si kama njia zenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa kuwa mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Mawazo yangu si kama mawazo yenu, wala njia zangu si kama njia zenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa kuwa mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa kuwa mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Mawazo yangu si kama mawazo yenu, wala njia zangu si kama njia zenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ndivyo, asemavyo Bwana: Mawazo yangu siyo mawazo yenu, wala njia zenu sizo njia zangu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana mawazo yangu si kama mawazo yenu, wala njia zangu si kama njia zenu. –Ni ujumbe wa Yawe.–