Isaiah 56:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana viongozi wao wote ni vipofu; wote hawana akili yoyote. Wote ni kama mbwa bubu wasiobweka, hulala tu na kuota ndoto, hupenda sana kusinzia!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walinzi wa Israeli ni vipofu, wote wamepungukiwa na maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kubweka; hulala na kuota ndoto, hupenda kulala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto, hulala, hupenda usingizi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana viongozi wao wote ni vipofu; wote hawana akili yoyote. Wote ni kama mbwa bubu wasiobweka, hulala tu na kuota ndoto, hupenda sana kusinzia!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walinzi wa Israeli ni vipofu, wote wamepungukiwa na maarifa; wote ni mbwa walio bubu hawawezi kubweka; hulala na kuota ndoto, hupenda kulala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walinzi wa Israeli ni vipofu, wote wamepungukiwa na maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kubweka; hulala na kuota ndoto, hupenda kulala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto, hulala, hupenda usingizi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana viongozi wao wote ni vipofu; wote hawana akili yoyote. Wote ni kama mbwa bubu wasiobweka, hulala tu na kuota ndoto, hupenda sana kusinzia!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walinzi wa watu wangu ni vipofu wote, hawajui kitu; wote ni mbwa mabubu wasioweza kulia, hulala na kuota ndoto, hupenda kupumzika tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto, hulala, hupenda usingizi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana walinzi wa Israeli wote ni vipofu; wote hawana akili yoyote. Wote ni kama imbwa bubu wasioweza kufoka, wanalala tu na kuota ndoto, wanapenda sana kusinzia!