Isaiah 56:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huambiana, “Njoni, twende kutafuta divai; njoni tunywe tushibe pombe! Kesho itakuwa kama leo, tena itakuwa sikukuu kubwa zaidi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mmoja hulia, “Njooni, tupate mvinyo! Tunywe kileo sana! Kesho itakuwa kama leo, au hata bora zaidi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Husema, Njoni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huambiana, “Njoni, twende kutafuta divai; njoni tunywe tushibe pombe! Kesho itakuwa kama leo, tena itakuwa sikukuu kubwa zaidi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mmoja hulia, “Njoni, tupate mvinyo! Tunywe kileo sana! Kesho itakuwa kama leo, au hata bora zaidi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mmoja hulia, “Njooni, tupate mvinyo! Tunywe kileo sana! Kesho itakuwa kama leo, au hata bora zaidi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Husema, Njooni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huambiana, “Njoni, twende kutafuta divai; njoni tunywe tushibe pombe! Kesho itakuwa kama leo, tena itakuwa sikukuu kubwa zaidi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Husema; Njoni, nichukue mvinyo, tunywe, hata tutakapolewa! Vivyo hivyo itakuwa nayo siku ya kesho, iwe sikukuu kabisa kupita cheo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Husema, Njoni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wao wanaambiana hivi: Mukuje, tuende kutafuta divai; mukuje tukunywe tushibe kinywaji kikali! Kesho itakuwa kama leo, tena itakuwa sikukuu kubwa zaidi.