Isaiah 56:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri mtu anayezingatia kikamilifu ninayosema, anayeshika sheria ya Sabato kwa heshima na kuepa kutenda uovu wowote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amebarikiwa mtu yule atendaye hili, mtu yule alishikaye kwa uthabiti, yeye ashikaye Sabato bila kuinajisi, auzuiaye mkono wake usifanye uovu wowote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri afanyaye haya, na mwanadamu ayashikaye sana; azishikaye sabato asizivunje, auzuiaye mkono wake usifanye uovu wo wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri mtu anayezingatia kikamilifu ninayosema, anayeshika sheria ya Sabato kwa heshima na kuepa kutenda uovu wowote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amebarikiwa mtu yule atendaye hili, mtu yule alishikaye kwa uthabiti, yeye ashikaye Sabato bila kuinajisi, auzuiaye mkono wake usifanye uovu wo wote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amebarikiwa mtu yule atendaye hili, mtu yule alishikaye kwa uthabiti, yeye ashikaye Sabato bila kuinajisi, auzuiaye mkono wake usifanye uovu wowote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri afanyaye haya, na mwanadamu ayashikaye sana; azishikaye sabato asizivunje, auzuiaye mkono wake usifanye uovu wowote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri mtu anayezingatia kikamilifu ninayosema, anayeshika sheria ya Sabato kwa heshima na kuepa kutenda uovu wowote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye shangwe ni mtu atakayeyafanya naye mwana wa mtu atakayeyashika, anayeziangalia siku za mapumziko, asizichafue, anayeiangalia mikono yake, isifanye kibaya cho chote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri afanyaye haya, na mwanadamu ayashikaye sana; azishikaye sabato asizivunje, auzuiaye mkono wake usifanye uovu wo wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri mutu anayefuata maneno hayo, anayeshika kabisa siku za Sabato kwa heshima na kuepuka kutenda uovu wowote.