Isaiah 56:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mgeni anayenitambua mimi Mwenyezi-Mungu asifikiri: ‘Hakika Mwenyezi-Mungu atanitenga na watu wake.’ Naye towashi asiseme: ‘Mimi ni mti mkavu tu!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usimwache mgeni aambatanaye na Mwenyezi Mungu aseme, “Hakika Mwenyezi Mungu atanitenga na watu wake.” Usimwache towashi yeyote alalamike akisema, “Mimi ni mti mkavu tu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala mgeni, aambatanaye na Bwana, asiseme hivi, Hakika yake Bwana atanitenga na watu wake; wala towashi asiseme, Mimi ni mti mkavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mgeni anayenitambua mimi Mwenyezi-Mungu asifikiri: ‘Hakika Mwenyezi-Mungu atanitenga na watu wake.’ Naye towashi asiseme: ‘Mimi ni mti mkavu tu!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usimwache mgeni aambatanaye na BWANA aseme, “Hakika BWANA atanitenga na watu wake.” Usimwache towashi ye yote alalamike akisema, “Mimi ni mti mkavu tu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usimwache mgeni aambatanaye na bwana aseme, “Hakika bwana atanitenga na watu wake.” Usimwache towashi yeyote alalamike akisema, “Mimi ni mti mkavu tu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala mgeni, aambatanaye na BWANA, asiseme hivi, Hakika yake BWANA atanitenga na watu wake; wala towashi asiseme, Mimi ni mti mkavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mgeni anayenitambua mimi Mwenyezi-Mungu asifikiri: ‘Hakika Mwenyezi-Mungu atanitenga na watu wake.’ Naye towashi asiseme: ‘Mimi ni mti mkavu tu!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mwana wa nchi ngeni aliyeandamana na Bwana asiseme: Bwana atanitenga kabisa kwao walio ukoo wake! Wala aliyekatazwa kuzaa asiseme: Nitazameni, mimi ni mti mkavu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala mgeni, aambatanaye na BWANA, asiseme hivi, Hakika yake BWANA atanitenga na watu wake; wala towashi asiseme, Mimi ni mti mkavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mugeni anayenitambua mimi Yawe asifikiri hivi: Hakika Yawe atanitenga na watu wake. Naye towashi asiseme: Mimi ni muti wenye kukauka!