Isaiah 56:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nitampa nafasi maalumu na ya sifa katika nyumba yangu na kuta zake; nafasi bora kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike: Nitampa jina la kukumbukwa daima, na ambalo halitafutwa kamwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hao nitawapa ndani ya Hekalu langu na kuta zake kumbukumbu na jina bora kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike: nitawapa jina lidumulo milele, ambalo halitakatiliwa mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitawapa hawa nyumbani mwangu, na ndani ya kuta zangu, kumbukumbu na jina, lililo jema kuliko kuwa na wana na binti; nitawapa jina lidumulo milele, lisilokatiliwa mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nitampa nafasi maalumu na ya sifa katika nyumba yangu na kuta zake; nafasi bora kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike: nitampa jina la kukumbukwa daima, na ambalo halitafutwa kamwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hao nitawapa ndani ya Hekalu langu na kuta zake kumbukumbu na jina bora kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike: Nitawapa jina lidumulo milele ambalo halitakatiliwa mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hao nitawapa ndani ya Hekalu langu na kuta zake kumbukumbu na jina bora kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike: nitawapa jina lidumulo milele, ambalo halitakatiliwa mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitawapa hawa nyumbani mwangu, na ndani ya kuta zangu, kumbukumbu na jina, lililo jema kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike; nitawapa jina lidumulo milele, lisilokatiliwa mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nitampa nafasi maalumu na ya sifa katika nyumba yangu na kuta zake; nafasi bora kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike: Nitampa jina la kukumbukwa daima, na ambalo halitafutwa kamwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nitawapa nyumbani mwangu na bomani kwangu mahali, ndipo majina yao yakae, napo patakuwa pema kuliko pengine penye wana wa kiume na wa kike; kweli nitawapa majina ya kale na kale yasiyong'oleka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitawapa hawa nyumbani mwangu, na ndani ya kuta zangu, kumbukumbu na jina, lililo jema kuliko kuwa na wana na binti; nitawapa jina lidumulo milele, lisilokatiliwa mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nitamupatia nafasi ya ukumbusho na ya sifa katika nyumba yangu na kuta zangu, nafasi bora kuliko kuwa na wana na wabinti. Nitamupatia jina la kukumbukwa siku zote na ambalo halitafutwa hata kidogo.