Isaiah 56:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Watu wageni watakaonikiri mimi Mwenyezi-Mungu, watakaoniheshimu, wakapenda jina langu na kuwa watumishi wangu, wote watakaoshika Sabato bila kuikufuru, watu watakaozingatia agano langu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wageni wanaoambatana na Mwenyezi Mungu ili kumtumikia, kulipenda jina la Mwenyezi Mungu, na kumwabudu yeye, wote washikao Sabato bila kuinajisi na ambao hushika sana agano langu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wageni, walioandamana na Bwana ili wamhudumu, na kulipenda jina la Bwana, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivunje, na kulishika sana agano langu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Watu wageni watakaonikiri mimi Mwenyezi-Mungu, watakaoniheshimu, wakapenda jina langu na kuwa watumishi wangu, wote watakaoshika Sabato bila kuikufuru, watu watakaozingatia agano langu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wageni wanaoambatana na BWANA kumtumikia, kulipenda jina la BWANA, na kumwabudu yeye, wote washikao Sabato bila kuinajisi na ambao hushika sana Agano langu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wageni wanaoambatana na bwana ili kumtumikia, kulipenda jina la bwana, na kumwabudu yeye, wote washikao Sabato bila kuinajisi na ambao hushika sana agano langu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wageni, walioandamana na BWANA ili wamhudumu, na kulipenda jina la BWANA, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivunje, na kulishika sana agano langu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Watu wageni watakaonikiri mimi Mwenyezi-Mungu, watakaoniheshimu, wakapenda jina langu na kuwa watumishi wangu, wote watakaoshika Sabato bila kuikufuru, watu watakaozingatia agano langu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa nchi ngeni walioandama na Bwana, wamtumikie, walipende Jina lake Bwana, wawe watumishi wake, wote waziangaliao siku zake za mapumziko, wasizichafue, walishike Agano lake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wageni, walioandamana na BWANA ili wamhudumu, na kulipenda jina la BWANA, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivunje, na kulishika sana agano langu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wageni watakaoshikamana nami Yawe, kwa kunitumikia na kwa kupenda jina langu, na kuwa watumishi wangu, wote watakaoshika siku ya Sabato bila kuichafua, watu watakaofuata agano langu,