Isaiah 56:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi wanyama wote wakali, nanyi wanyama wote wa mwituni, njoni muwatafune watu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njooni, enyi wanyama wote wa kondeni, njooni mle, ninyi wanyama wote wa mwituni!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi hayawani wote wa nyikani, njoni, Mle, enyi hayawani wote wa mwituni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi wanyama wote wakali, nanyi wanyama wote wa mwituni, njoni muwatafune watu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoni, enyi wanyama wote wa kondeni, njoni mle, ninyi wanyama wote wa mwituni!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njooni, enyi wanyama wote wa kondeni, njooni mle, ninyi wanyama wote wa mwituni!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi wanyama wote wa porini njoni Mle, enyi wanyama wote wa porini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi wanyama wote wakali, nanyi wanyama wote wa mwituni, njoni muwatafune watu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi nyama wa porini nyote, nanyi nyama wa mwituni, nyote njoni, mle!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi hayawani wote wa nyikani, njoni, Mle, enyi hayawani wote wa mwituni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi nyama wote wakali, nanyi nyama wote wa pori, mukuje mukule.