Isaiah 57:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliiona mienendo yao, lakini nitawaponya; nitawaongoza na kuwapa faraja, nitawatuliza hao wanaoomboleza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimeziona njia zake, lakini nitamponya, nitamwongoza na kumrudishia upya faraja,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimeziona njia zake; nami nitamponya; nitamwongoza pia, nitamrudishia faraja zake, yeye na hao wanaomlilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliiona mienendo yao, lakini nitawaponya; nitawaongoza na kuwapa faraja, nitawatuliza hao wanaoomboleza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimeziona njia zake, lakini nitamponya, nitamwongoza na kumrudishia upya faraja,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimeziona njia zake, lakini nitamponya, nitamwongoza na kumrudishia upya faraja,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimeziona njia zake; nami nitamponya; nitamwongoza pia, nitamrudishia faraja zake, yeye na hao wanaomlilia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliiona mienendo yao, lakini nitawaponya; nitawaongoza na kuwapa faraja, nitawatuliza hao wanaoomboleza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikaziona hizo njia zao, kwa hiyo nitawaponya na kuwaongoza, niwalipe na kuwatuliza mioyo wao na wenzao, waliowasikitikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimeziona njia zake; nami nitamponya; nitamwongoza pia, nitamrudishia faraja zake, yeye na hao wanaomlilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliona mwenendo wao, lakini nitawaponyesha; nitawaongoza na kuwapa faraja, nitawatuliza hao wanaoomboleza.