Isaiah 57:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nitawapa amani, amani kwa walio mbali na walio karibu! Mimi nitawaponya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nikiumba sifa midomoni ya waombolezaji katika Israeli. Amani, amani, kwa wale walio mbali na kwa wale walio karibu,” asema Mwenyezi Mungu. “Nami nitawaponya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi nayaumba matunda ya midomo; Amani, amani, kwake yeye aliye mbali, na kwake yeye aliye karibu; asema Bwana; nami nitamponya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nitawapa amani, amani kwa walio mbali na walio karibu! Mimi nitawaponya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nikiumba sifa katika midomo ya waombolezaji katika Israeli. Amani, amani, kwa wale walio mbali na kwa wale walio karibu,” asema BWANA. “Nami nitawaponya.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nikiumba sifa midomoni ya waombolezaji katika Israeli. Amani, amani, kwa wale walio mbali na kwa wale walio karibu,” asema bwana. “Nami nitawaponya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi nayaumba matunda ya midomo; Amani, amani, kwake yeye aliye mbali, na kwake yeye aliye karibu; asema BWANA; nami nitamponya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nitawapa amani, amani kwa walio mbali na walio karibu! Mimi nitawaponya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na niumbe mazao ya midomo itakayotangaza utengemano kwamba: Utengemano utawajia walioko mbali nao walioko karibu! Ndivyo, anavyosema Bwana: Kweli nitawaponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi nayaumba matunda ya midomo; Amani, amani, kwake yeye aliye mbali, na kwake yeye aliye karibu; asema BWANA; nami nitamponya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nitawapa amani, amani kwa wanaokuwa mbali na wanaokuwa karibu! –Ni Yawe anayesema hivyo.– Mimi nitawaponyesha.