Isaiah 57:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili apate kuingia kwenye amani.” Watu wanaofuata njia ya haki, watakuwa na amani na kupumzika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanaoenda kwa unyofu huwa na amani; hupata pumziko wanapolala mautini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye huingia katika amani; wao hustarehe katika vitanda vyao, kila mtu aendaye katika unyofu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili apate kuingia kwenye amani.” Watu wanaofuata njia ya haki, watakuwa na amani na kupumzika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale waendao kwa unyofu huwa na amani; hupata pumziko walalapo mautini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waendao kwa unyofu huwa na amani; hupata pumziko walalapo mautini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye huingia katika amani; wao hustarehe katika vitanda vyao, kila mtu aendaye katika unyofu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili apate kuingia kwenye amani.” Watu wanaofuata njia ya haki, watakuwa na amani na kupumzika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao huingia kwenye utengemano, hupumzika hapo, wanapolala wao waliozifuata njia zao zinyokazo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye huingia katika amani; wao hustarehe katika vitanda vyao, kila mtu aendaye katika unyofu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi apate kuingia kwenye amani. Watu wenye mwenendo sawa, watakuwa na amani na kupumzika.