Isaiah 57:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini waovu ni kama bahari iliyochafuka, ambayo haiwezi kutulia; mawimbi yake hutupa tope na takataka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali waovu ni kama bahari ichafukayo, ambayo haiwezi kutulia, mawimbi yake hutupa takataka na matope.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali wabaya wanafanana na bahari iliyochafuka; maana haiwezi kutulia, na maji yake hutoa tope na takataka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini waovu ni kama bahari iliyochafuka, ambayo haiwezi kutulia; mawimbi yake hutupa tope na takataka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali waovu ni kama bahari ichafukayo, ambayo haiwezi kutulia, mawimbi yake hutupa takataka na matope.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali waovu ni kama bahari ichafukayo, ambayo haiwezi kutulia, mawimbi yake hutupa takataka na matope.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali wabaya wanafanana na bahari iliyochafuka; maana haiwezi kutulia, na maji yake hutoa tope na takataka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini waovu ni kama bahari iliyochafuka, ambayo haiwezi kutulia; mawimbi yake hutupa tope na takataka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wasiomcha Mungu hufanana na bahari ichafukayo, isiyoweza kutulia kamwe, mawimbi yake hayakomi kutoa machafu na takataka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali wabaya wanafanana na bahari iliyochafuka; maana haiwezi kutulia, na maji yake hutoa tope na takataka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini waovu ni kama bahari iliyochafuka, ambayo haiwezi kutulia; maji yake yanatupa matope na takataka.