Isaiah 57:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmeweka vitanda vyenu juu ya milima mikubwa, na kwenda huko kutoa tambiko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeweka kitanda chako juu kwenye kilima kirefu kilichoinuka, huko ulienda kutoa dhabihu zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeweka kitanda chako juu ya mlima mrefu ulioinuka sana; ukaenda huko ili kutoa dhabihu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmeweka vitanda vyenu juu ya milima mikubwa, na kwenda huko kutoa tambiko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeweka kitanda chako juu kwenye kilima kirefu kilichoinuka, huko ulikwenda kutoa dhabihu zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeweka kitanda chako juu kwenye kilima kirefu kilichoinuka, huko ulikwenda kutoa dhabihu zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeweka kitanda chako juu ya mlima mrefu ulioinuka sana; ukaenda huko ili kutoa dhabihu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmeweka vitanda vyenu juu ya milima mikubwa, na kwenda huko kutoa tambiko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye mlima mrefu juu kileleni hujitandikia pako pa kulalia, ukipanda huko kuchinja ng'ombe za tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeweka kitanda chako juu ya mlima mrefu ulioinuka sana; ukaenda huko ili kutoa dhabihu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumeweka vitanda vyenu juu ya milima mirefu, na kwenda kule kwa kutambikia.