Isaiah 58:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
utapata furaha yako kwangu mimi Mwenyezi-Mungu, nitakupatia ushindi katika kila pingamizi nchini, nitakulisha mali ya Yakobo, babu yako. Mimi, Mwenyezi-Mungu, nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ndipo utakapojipatia furaha yako katika Mwenyezi Mungu, nami nitakufanya upande juu ya miinuko ya nchi na kusherehekea urithi wa Yakobo baba yako.” Kinywa cha Mwenyezi Mungu kimenena haya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo utakapojifurahisha katika Bwana; nami nitakupandisha mahali pa nchi palipoinuka; nitakulisha urithi wa Yakobo baba yako; kwa maana kinywa cha Bwana kimenena hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
utapata furaha yako kwangu mimi Mwenyezi-Mungu, nitakupatia ushindi katika kila pingamizi nchini, nitakulisha mali ya Yakobo, babu yako. Mimi, Mwenyezi-Mungu, nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ndipo utakapojipatia furaha yako katika BWANA, nami nitakufanya upande juu ya miinuko ya nchi na kusherehekea urithi wa Yakobo baba yako.” Kinywa cha BWANA kimenena haya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ndipo utakapojipatia furaha yako katika bwana, nami nitakufanya upande juu ya miinuko ya nchi na kusherehekea urithi wa Yakobo baba yako.” Kinywa cha bwana kimenena haya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo utakapojifurahisha katika BWANA; nami nitakupandisha mahali pa nchi palipoinuka; nitakulisha urithi wa Yakobo baba yako; kwa maana kinywa cha BWANA kimenena hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
utapata furaha yako kwangu mimi Mwenyezi-Mungu, nitakupatia ushindi katika kila pingamizi nchini, nitakulisha mali ya Yakobo, babu yako. Mimi, Mwenyezi-Mungu, nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, utakapopendezwa na Bwana, nami nitakupitisha kwenye vilima vya nchi, kisha nitakupa nalo fungu la baba yako Yakobo, ulile, kwani kinywa chake Bwana kimeyasema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo utakapojifurahisha katika BWANA; nami nitakupandisha mahali pa nchi palipoinuka; nitakulisha urithi wa Yakobo baba yako; kwa maana kinywa cha BWANA kimenena hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
utapata furaha yako kwangu mimi Yawe, nitakupatia ushindi katika kila upinzani katika inchi, nitakulisha mali ya Yakobo, babu yako. Maneno haya yanatoka katika kinywa cha Yawe.