Isaiah 59:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifikiri mkono wa Mungu ni mfupi, hata asiweze kuwaokoeni; au masikio yake yamezibika, hata asiweze kuwasikieni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika mkono wa Mwenyezi Mungu si mfupi hata usiweze kuokoa, wala sikio lake si zito hata lisiweze kusikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, mkono wa Bwana haukupunguka, hata usiweze kuokoa wala sikio lake si zito, hata lisiweze kusikia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifikiri mkono wa Mungu ni mfupi, hata asiweze kuwaokoeni; au masikio yake yamezibika, hata asiweze kuwasikieni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika mkono wa BWANA si mfupi hata usiweze kuokoa, wala sikio lake si zito hata lisiweze kusikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika mkono wa bwana si mfupi hata usiweze kuokoa, wala sikio lake si zito hata lisiweze kusikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka, hata usiweze kuokoa wala sikio lake si zito, hata lisiweze kusikia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifikiri mkono wa Mungu ni mfupi, hata asiweze kuwaokoeni; au masikio yake yamezibika, hata asiweze kuwasikieni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni: Mkono wake Bwana sio mfupi, usiweze kuokoa, wala masikio yake siyo mazito, yasiweze kusikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka, hata usiweze kuokoa wala sikio lake si zito, hata lisiweze kusikia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musifikiri kwamba mukono wa Mungu ni mufupi, hata asiweze kuwaokoa, au kwamba masikio yake yamefungana, hata asiweze kuwasikiliza ninyi.