Isaiah 59:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Twanguruma kama dubu, twaomboleza tena na tena kama hua. Twatazamia hukumu ya haki, lakini haipo, twatazamia wokovu, lakini uko mbali nasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote tunanguruma kama dubu; tunalia kwa maombolezo kama hua. Tunatafuta haki, kumbe hakuna kabisa; tunatafuta wokovu, lakini uko mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sisi sote twanguruma kama dubu; twaomboleza kama hua; twatazamia hukumu ya haki, lakini hapana; na wokovu, lakini u mbali nasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Twanguruma kama dubu, twaomboleza tena na tena kama hua. Twatazamia hukumu ya haki, lakini haipo, twatazamia wokovu, lakini uko mbali nasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote tunanguruma kama dubu; tunalia kwa uchungu kwa maombolezo kama hua. Tunatafuta haki, kumbe hakuna kabisa; tunatafuta wokovu, lakini uko mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote tunanguruma kama dubu; tunalia kwa maombolezo kama hua. Tunatafuta haki, kumbe hakuna kabisa; tunatafuta wokovu, lakini uko mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sisi sote twanguruma kama dubu; twaomboleza kama hua; twatazamia hukumu ya haki, lakini hapana; na wokovu, lakini u mbali nasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Twanguruma kama dubu, twaomboleza tena na tena kama hua. Twatazamia hukumu ya haki, lakini haipo, twatazamia wokovu, lakini uko mbali nasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sisi sote huvuma kama nyegere, hulia, kama hua wanavyolia, tukayangojea yale maamuzi yapasayo, lakini hayako, tukaungojea wokovu, nao ukawa mbali, usifike kwetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sisi sote twanguruma kama dubu; twaomboleza kama hua; twatazamia hukumu ya haki, lakini hapana; na wokovu, lakini u mbali nasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tunanguruma kama dubu, tunaomboleza kama njiwa. Tunatazamia watu wanaofuata sheria ya Mungu, lakini hakuna, tunatazamia wokovu, lakini uko mbali nasi.